"GOODBYEE" wimbo mpya wa pili kutoka wa DON NALIMISON. Umetoka rasmi leo

mkuu ni wapi nitapata ngoma za bongo fleva za kitambo zenye Quality nzuri hata nikizipiga kwenye subwoofer la kichina hazitoleta distortion

Nenda kwa Mamu store kariakoo(GMC) au audio visual
 
mkuu ni wapi nitapata ngoma za bongo fleva za kitambo zenye Quality nzuri hata nikizipiga kwenye subwoofer la kichina hazitoleta distortion
Aisee sijui...ila kuna uzi ulipandishwa humu wa ngoma alizoproduce Majani ngoja nikiupata nitakutag
 
Yani nilikuwa sijachheka k kiasi kikubw kama nilivyocheka leo baada ya kusikiliza huu wimbo. Yani nimecheka na bado inacheka. DON umetisha

Acha kucheka unatakiwa utabasamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…