Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo anafanya kazi kwa namna ukijuwa unaweza kuogopa watu,zawadi,maneno,vyakula, macho ya watu nk.
Ndugu zangu kama hamjuwi leo nitawajuza kwa kuwaacha na swali moja tu sitaji mtu jina mtajiongeza hivi mmewahi kujiuliza kwanini kuna mwanamziki kila akiona kuna kipaji kinaibuka cha mwanamziki na kinakuja kwa kasi atafanya kila njia kuimba na kumsajili kwenye lable yake au kumpa zawadi nono? Siandiki sana mtamalizia wenyewe...
Goodluck ameyakanyaga na ili kupoteza ushahidi ameamua kuchoma gari yes. Sio jambo lakushangaza embu turudi kwenye hiki kisa cha mfalme Sauli na kwanini Mungu alimshusha kutoka kwenye kiti.
Mfalme Sauli baada ya kutawazwa na Mungu akiwa ndio mfalme wa kwanza ktk Israel alifanya kosa moja tu nahilo
Kosa likawa ndio mwisho wake na Mungu akamkataa je wajuwa kosa gani?
Ktk Taifa la Israel walipo kuwa wanaenda vitani moja ya sharti Mungu alikuwa akiwaonya nikuto kuchukua vitu vya adui kuanzia watoto,mali, wake, vito vya thamani au chchote cha thamani walitakiwa kuvikusanya na kuvichoma na ilikuwa kubeba mali ya adui ni hatari kwa jeshi na Taifa la Israel.
Sasa huyu mfalme kwenye vita moja Mungu alimuagiza kuuwangamiza mji mzima yeye bwana kufika kwa mji akaona wanawake na vibinti vizuri aka anza kuvipenda na dhahabu akabeba wee Mungu akamwambia Samwel akamtengue nakumpa ufalme Daud.
Mungu hakumsamehe Saul.
Watu wanapewa vitu vya hatari na wanao jiita watu wa Mungu ila nyuma ya pazia wanajifunga na giza.
Wanatupa vitu vya kula na kunywa ila hayo ndio maagano tunafunga nayo ndoa ni hatari sana
Kwa wale tunasoma BIBLIA Tunakumbuka shetani anamwambia Yesu ukinisujudia nakupa milik zote Yesu akamwambia imeandika usimjaribu bwana Mungu wako.
Soma Pia: Muimbaji wa injili GodLucky achoma moto gari alilopewa zawadi na mchungaji
Watu wamekula vitu hawatoinuka tena watu wamebeba vitu hawatoinuka tena. Je Kwanini? Tamaa inatumaliza nakutufarakanisha na Mungu.
Kipaji cha Gozbert kilimtisha shetani akajuwa udhaifu na tamaa yake akamaliza naye halikuwa gari ila mali za dunia ili amsujudie shetani na kupotea na hilo amefanikiwa kwahiyo dawa haikuwa kurudisha au kuuza chuma chakavu kitu cha laana hakifai ila pia kwakuwa alipiga magoti na hapo ndio kuna shida yupo kwa kifungo Mungu amtetee

Loading…
www.google.com