Makini Sana
Member
- Aug 2, 2019
- 28
- 14
Wakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
Tatizo lenu mmekariri nyimbo ya Gospel ni mpaka video ichukuliwe Mbele ya swimming pool au mbele ya hotel tuuu..
Namsifu kijana kwa audio na video aliyotoa, inaonyesha Gospel imekuwa na pia anafikisha ujumbe kirahisi kwa vijana
Wakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
Uchezaji usio wa kidunia upoje? Au mpaka wavae mashati ya vitenge na kuimba garden?Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Siku zote huwa anaimba uhamasishaji sio Kumsifu MunguWakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
good point mkuu huwezi kuwaridhisha binadamMkuu
Ana crossover kwenye mainstream!
Usidhani unaweza mpangia artist cha kufanya!
Unataka kumuwekea limit ya ubunifu wake!
Kama miziki mumeiweka kwenye boxes kwa definitions zenu rigid
Basi yeye ana redefine na kuweka limits anazotaka kama artist!
Kama wewe binafsi unaona sio dini ni sawa na kama unaona dini ni sawa!
Judge the way you want!
Na hivyo unachofanya ndio kinatakiwa kama hadhira!
Judge weee,then jipatie majibu mwenyewe,then kalale,then hakuna kitu!
Muacheni!
Mashairi ya wimbo hayana shida hata kidogo, maana anaelezea Jinsi maisha anayoishi ambavyo hayampendezi Mungu (Hapa hakuna shida)Wakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia