Wabongo tuache kukariri....ni wapi na lini Biblia ilieleza kuwa nyimbo za gospel lazima ziwe kama mnavyo fikiri?
Yeye kafikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa.... Angeimba kama wengi walivyo kariri , unahisi mimi kijana wa bongo fleva ningeifuatilia?
Waimbaji wengi wa gospel wanaimbia hadhira ya kizazi kilichopita na sio cha sasa ndio maana mziki wa gospel unaonekana kupitwa na wakati na wengi hawana time nao.
Yanapotokea mabadiliko kama haya ni suala jema kwani hakuna ubaya wowote na hajatukana.