Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mtu kama amemind akamsikilize Rose Muhando.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njili Ya YesuSo yaani MUNGU apewe vibaya na shetani ndo apewe vizuri?...
Yaan MUNGU apewe nyimbo za hovyo, zisizosikika vizuri alafu shetani apewe melody nzuri?
MUNGU ana wivu pia so anahitaji tumwimbie vizuri na tumchezee pia!
Daudi alimchezea MUNGU hadi nguo zikamvuka unajua alicheza kwa viwango gani?
Tusiaminishane kwamba nyimbo mambo mabaya na madhaifu ndo ya MUNGU na mazuri ndo ya shetani
Ahamie tuNi kawaida sana kusikia msanii wa mambo ya duniani kawa msanii wa kanisani,very soon tutasikia huyu jamaa kahamia kwenye nyimbo za duniani kaachana na gospel
Teh .... [emoji28]Wimbo mzuri sana, anakiri mapungufu yake na anamuomba Mungu AMBADILISHE
Teh .... [emoji28]
Wakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
Huo wimbo hauna maadili ya kidini, hakuna ubunifu wowote kiufupi ameingia Choo cha kike, hyo ni bongo fleva, achague kusuka au kunyoa kama anaimba dini aimbe kama ni bongo fleva aimbe bongo fleva, kipaji chake kipo kwenye dini ila Moyo wake unatamani bongo fleva, na hapa ndo kajionyesha rangi yake halisi , achague kimoja kuunganisha vyote atajipigiza kwenye Jiwe......
Bwana atanibadilishaUko na ubaya
Mamdogo
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana