Goodluck Gozbert unaelekea wapi?

Goodluck Gozbert unaelekea wapi?

Wabongo tuache kukariri....ni wapi na lini Biblia ilieleza kuwa nyimbo za gospel lazima ziwe kama mnavyo fikiri?
Yeye kafikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa.... Angeimba kama wengi walivyo kariri , unahisi mimi kijana wa bongo fleva ningeifuatilia?
Waimbaji wengi wa gospel wanaimbia hadhira ya kizazi kilichopita na sio cha sasa ndio maana mziki wa gospel unaonekana kupitwa na wakati na wengi hawana time nao.
Yanapotokea mabadiliko kama haya ni suala jema kwani hakuna ubaya wowote na hajatukana.
Hakuna bible ya kizazi kipya.. gospel ni ileile haiwezi kubadilika. Jitafakari
 
Kiukweli huyu kijana ana kipaji cha kuimba ila uimbaji wake ni wa kidunia zaidi kuliko wa kidini. Anaimba ki-Bongo fleva kuliko kikwaya. Simply ni kwamba uimbaji wake ni wa kibiashara kuliko kuhubirri injili kama Rose Mhando tu!!!!!
 
kwani ametoka wapi na anaenda wapi?
Huyo atakuwa kaathirika na ugonjwa wa HIV alafu akajitambua kuwa yeye ni mgonjwa, hapo ndipo tatizo lilipoanzia😛🙄
 
Niliwahi msikiliza Gudluck siku moja katika interview ya clouds, alisikika akisema yeye si mwanamziki wa nyimbo za injili bali anaimba nyimbo zenye kuinspire jamii....
 
Hakuna bible ya kizazi kipya.. gospel ni ileile haiwezi kubadilika. Jitafakari
Wewe ndio ujitafakari acha kutumia mihemko.
ndo maana ata mtume paul alikua anabadilika kulingana na mazingira, alipokutana na wahuni naye alijiweka sawa na wahuni ili ujumbe wake uwafikie.
We endelea na mihemko yako.
 
Who are u to judge him? Mtu ukishakuwa na upofu wa dini basi unajifanya much know!!

Acha kijana apige mpunga Kwa jina la dini, mbona Mwamposa anawapuna watu kibao hamum-dis??
 
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Nionyeshe wapi kwenye Bible kumeelekeza style ya uchezaji na mavazi.
.
Mimi binafsi nina drade na huwa naenda kanisani bila shaka tena RC
 
Nyimbo za kidunia zinakiwaje? Unajua kama ukisema wa kidunia linganisha mwimbo wa mdada ainaitwa mwaipopo ( adui zangu nimewasame bure ) na wimbo wa ben paul bado kidogo.
Nyimbo ambazo c za kidunia ni liturugia ambayo huuimbwa kutoka kwenye zaburi..
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
 
Back
Top Bottom