So yaani MUNGU apewe vibaya na shetani ndo apewe vizuri?...
Yaan MUNGU apewe nyimbo za hovyo, zisizosikika vizuri alafu shetani apewe melody nzuri?
MUNGU ana wivu pia so anahitaji tumwimbie vizuri na tumchezee pia!
Daudi alimchezea MUNGU hadi nguo zikamvuka unajua alicheza kwa viwango gani?
Tusiaminishane kwamba nyimbo mambo mabaya na madhaifu ndo ya MUNGU na mazuri ndo ya shetani
njili Ya Yesu
Fanuel Sedekia
Dunia ya sasa ni ya mabadiliko
Ya sayansi uchumi na utamaduni
ila nina ujumbe kwalo kanisa
injili ya Yesu haibadiliki ×2
Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii
Bado twakuletea injili ile halisi
Ile ya Yesu mwenyewe nao mitume
Uweza wa Mungu uletao wokovu ×2
Injili yake Yesu nao mitume
ilifungua wagonjwa watu nao waliokoka
tena imetuletea tumaini milele
Nasi twakuletea injili hiyohiyo ×2
Hata kama dunia ya sasa ndiyo hiii
bado twakuletea injili ile halisi
ile ya Yesu mwenyewe nao mitume
Uweza wa Mungu uletao wokovu ×3