Hakuna bible ya kizazi kipya.. gospel ni ileile haiwezi kubadilika. JitafakariWabongo tuache kukariri....ni wapi na lini Biblia ilieleza kuwa nyimbo za gospel lazima ziwe kama mnavyo fikiri?
Yeye kafikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa.... Angeimba kama wengi walivyo kariri , unahisi mimi kijana wa bongo fleva ningeifuatilia?
Waimbaji wengi wa gospel wanaimbia hadhira ya kizazi kilichopita na sio cha sasa ndio maana mziki wa gospel unaonekana kupitwa na wakati na wengi hawana time nao.
Yanapotokea mabadiliko kama haya ni suala jema kwani hakuna ubaya wowote na hajatukana.
Muuza CD tu naye huyu hana uinjilishaji wowote!! Miselebuko kama YOTEEEEEEmtu kama amemind akamsikilize Rose Muhando.
Wewe ndio ujitafakari acha kutumia mihemko.Hakuna bible ya kizazi kipya.. gospel ni ileile haiwezi kubadilika. Jitafakari
waroho hamna pesa za kuingia kwenye show ndiyomaana this time amewatarget watu wa mataifa.Muuza CD tu naye huyu hana uinjilishaji wowote!! Miselebuko kama YOTEEEEEE
Labda kuvaa mashati ya vitenge makubwa kama Bony mwaitege au mashat ya zambarau na suruali pana za samawati,kijani na udhurungi☺😊Uchezaji usio wa kidunia upoje? Au mpaka wavae mashati ya vitenge na kuimba garden?
Uko na ubaya TeslahDah nmeicheki
Daah e bhana eee
Mbinguni tutaenda wachache sana
Nionyeshe wapi kwenye Bible kumeelekeza style ya uchezaji na mavazi.Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Kwani mnaaminigi kuwa hawa watu wanamuimbia Mungu?? Shauri zenu
Wananitaka leo akina SarahMziki biashara
Ni kweli kabsaaaa!Ata Will Paul alianza hivihivi hadi leo ni msanii wa bongo flavour [emoji17][emoji17]
Uyu jamaa Si mpka poda.
We ulitaka uwe wa kimbinguni mkuu?Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana