Goodluck Gozbert unaelekea wapi?

Watanzania acheni kuishi kwa kukariri. Sometimes mnapata stress za ajabu simply kwa kujiweka kwenye kundi la watu wasiopenda mabadiliko.

Cc Marianah
 
Niliwahi msikiliza Gudluck siku moja katika interview ya clouds, alisikika akisema yeye si mwanamziki wa nyimbo za injili bali anaimba nyimbo zenye kuinspire jamii....
Kabisa, nyimba zake ningi ni za kutia moyo katika kumtafuta na kumjua mungu zaidi
 
Wakuu habari

Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
Agent wa shetani
Watakuja na ushawishi mdhani wanamuabudu Mungu wa kweli
' Kizazi hiki hakitapita hata yote yatatimia'
 
Teh teh teeeeh!! Mungu wetu ni wa utaratibu. Lazima tujue kutofautisha vya dunia na vya mbingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…