kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
We burudika zako mkuu. Hakuna matataBonge moja la wimbo, ngoja niusikilize tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We burudika zako mkuu. Hakuna matataBonge moja la wimbo, ngoja niusikilize tena
Hahhaa😅😅Uko na ubaya Teslah
Kwanini hizo dini mnazozipigia kelele zipo wapi kama sio duniani ?Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Angalia uchezaji ule mavazi na hata muundo wa nyimbo ni wakidunia sana
Ujumbe mzuri lakini video sisi wasabato tunasema "ya mataifa " sio ya ki Mungu wala haina utukufu.
Mtu aliyezaliwa mwaka 2002 anajulia wapi MAKOMA ?Unawajua makoma?
Kabisa, nyimba zake ningi ni za kutia moyo katika kumtafuta na kumjua mungu zaidiNiliwahi msikiliza Gudluck siku moja katika interview ya clouds, alisikika akisema yeye si mwanamziki wa nyimbo za injili bali anaimba nyimbo zenye kuinspire jamii....
Agent wa shetaniWakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia