Goodluck Gozbert unaelekea wapi?

Tatizo lenu mmekariri nyimbo ya Gospel ni mpaka video ichukuliwe Mbele ya swimming pool au mbele ya hotel tuuu..

Namsifu kijana kwa audio na video aliyotoa, inaonyesha Gospel imekuwa na pia anafikisha ujumbe kirahisi kwa vijana
na yale mashati ya dhambarau au njano vifungo vya mkono vya kubandika vile vya chuma
 
Mwenzie Will Paul kahama jumlaa now.. Mwendo wa Njiwaaa njiwaa aaha..!!

Mungu hadhihakiwi hata siku moja.
 
Wimbo wa Gospel wadada wamevaa suruali vimebanaa balaa...
 
Video Yake huyu sijui alikula bangi za wapi.
Hovyo kabisa..
Ngoja niishie hapa.
 
Anatafuta pesa mwacheni..tena video inayofuata kasema ataweka wadada wenye misambwanda ya hatari ili kuwavutia vijana wampende bwana..
 
Mm sjawahi kuamini km huyu hamaa ni Gospel singer nachojua ni opportunist
 
Nimeupenda, bonge la wimbo[emoji847]
 
Kwani Yesu alipokuja duniani alikuwa anakaaa tu ndani ya sinagogi
 
Hv watanzania mna matatizo gan?,hv mmeusikiliza wimbo vzuri? Jamaa anazungumzia kuhusu maovu yake na anataka bwana ambadilishe tatizo liko wap,mavazi, kucheza kunahusiana na nn na kumuabudu mungu?huo ni wimbo wa dini pure na ni bonge moja la wimbo for sure tuache kukariri mlitaka avae suruali pana na mashati ya kitenge ndo mjue kaimba dini?
 
Wakuu habari

Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
Wasanii wa gospel kwenye hiyo studio ya Teddy B huwa hawajali kiviiile. Ndio akina Willy Paul wa Nandy...
 
Toa ufafanuzi kwa kupitia biblia ni sehemu gani biblia imetoa maelekezo kuhusu utarati u wa kuimba injili.
Unampinga kwa kutumia andiko gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…