Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwakweli.Ata Will Paul alianza hivihivi hadi leo ni msanii wa bongo flavour [emoji17][emoji17]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli.Ata Will Paul alianza hivihivi hadi leo ni msanii wa bongo flavour [emoji17][emoji17]
na yale mashati ya dhambarau au njano vifungo vya mkono vya kubandika vile vya chumaTatizo lenu mmekariri nyimbo ya Gospel ni mpaka video ichukuliwe Mbele ya swimming pool au mbele ya hotel tuuu..
Namsifu kijana kwa audio na video aliyotoa, inaonyesha Gospel imekuwa na pia anafikisha ujumbe kirahisi kwa vijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah nmeicheki
Daah e bhana eee
Mbinguni tutaenda wachache sana
HakikaTeh teh teeeeh!! Mungu wetu ni wa utaratibu. Lazima tujue kutofautisha vya dunia na vya mbingu.
Ndiyo Mpaka Sasa anagonga Beats hahaHuyo sindiyo lollipop zamani
Wasanii wa gospel kwenye hiyo studio ya Teddy B huwa hawajali kiviiile. Ndio akina Willy Paul wa Nandy...Wakuu habari
Hivi hii nyimbo mpya aliyoitoa Goodluck Gozbert ni ya dini au maana sio kwa maudhui Yale kwa upande wa video na audio pia
hahaha ongezea na suti ya kaunda rangi ya chanikiwitiLabda kuvaa mashati ya vitenge makubwa kama Bony mwaitege au mashat ya zambarau na suruali pana za samawati,kijani na udhurungi☺😊
wabongo wanataka Gozbert nae avae hivi tehna yale mashati ya dhambarau au njano vifungo vya mkono vya kubandika vile vya chumaView attachment 1200846
Huo wimbo hauna maadili ya kidini, hakuna ubunifu wowote kiufupi ameingia Choo cha kike, hyo ni bongo fleva, achague kusuka au kunyoa kama anaimba dini aimbe kama ni bongo fleva aimbe bongo fleva, kipaji chake kipo kwenye dini ila Moyo wake unatamani bongo fleva, na hapa ndo kajionyesha rangi yake halisi , achague kimoja kuunganisha vyote atajipigiza kwenye Jiwe......