Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Malipo nilitumia Airtel Mastercard kuhusu lugha in Google Translate japo kwa sasa hii Feature nimeiondoaHarafu mkuu nilipitia Website yako niliona option ya kubadili lugha kingereza na kiswahili vipi hiyo ni setting zako au na kuhusu kulipia domain ulitumia njia gani ya malipo.
Ila kwa sasa kwa upande wa Google Adsence unapokea matangazo.Malipo nilitumia Airtel Mastercard kuhusu lugha in Google Translate japo kwa sasa hii Feature nimeiondoa
Kamakawa tuIla kwa sasa kwa upande wa Google Adsence unapokea matangazo.
Mfano malipo wewe unapokea kwa njia gani na kipindi unaunganisha Ads ulipokea pin kwa njia gani.Kamakawa tu
Issue ni watu ndugu yanguKwa hyo hapo ni kujua njia kukuza blog yako haijalishi hata ikiwa huko bloger
Sijawahi tumia Adsense hii nikikubaliwa ndio itakua mara ya kwanzaMfano malipo wewe unapokea kwa njia gani na kipindi unaunganisha Ads ulipokea pin kwa njia gani.
Nimenunua leo domain GoDaddyMkuu hiyo 4000 ni cost ya nini.
Je, kwa website yako domain unalipia shingapi ya kitanzania kwa Mwezi/Mwaka
Blog kufikiwa na watu wengi au kuwa top ni searching engine optimizationKwa hyo hapo ni kujua njia kukuza blog yako haijalishi hata ikiwa huko bloger
Blog yako hujaitendea hakisio bei cheki hii yangu SafariAfricaBlog hapo nimetumia tsh4000 tu mpaka hapo
Nasubiria adsense nikiwa navuna pesa adsterra
Kwanini mkuuBlog yako hujaitendea haki
Nashukuru kuona umeifatilia Ezoic mkuu. Ukiacha Ezoic pia kuna Mediavine na Adthrive (hizi ni ngumu sana kukubalikwa kama majority traffic yako sio ya USA) Mediavine wanataka site yenye sessions kuanzia 50,000/m. Sio page views ni sessions.Leo nitaendelea nilipoishia kaeni mkao wa kula pia ninafurahi pia mimi najichotea knowledge kuna vitu nilikuwa sivijui ila kupitia jf nimevijua
Kuna mdau mmoja aliongelea kuhusu ezoic hapa jf ila wengi nadhani hawapo familiar nayo naomba akiweza kuunda thread ya hicho kitu aunde au aweke maelezo yake hapa
Still ezoic ni best kwa caching, CDN, site optimization, inaboost revenue kwa Kutuimia algorithm za AI
Kuna blog yangu moja ilikuwa blogger kwa zaid ya mwaka na nusu.Blog kufikiwa na watu wengi au kuwa top ni searching engine optimization
Site za WordPress zinakuwa top kwakuwa kuna plugin nyingi na tool za seo
Wordpress site zinacost kubwa endapo site yako inapokea traffic kubwa
Ila blogger blog ukiifanyia seo vizuri huwezi ona tofauti yako wewe na mtu wa WordPress nikiongelea kuhusu structured data utaelewa coz ni moja ya kipengele unatakiwa tu ujue part za xml template ya blogger na jinsi data zinavyowekwa kwenye xml
Hivi kupitia mitandao unalipaje binafsi nimeshindwaNimenunua leo domain GoDaddy
Txn Id : MP220221.1249.Q40848,You have paid 2,835.66Tsh to DNHGODADDYCOM .Your available Airtel Money balance : 2,096.75Tsh.
Hiyo ni kwa mwaka, japo kwenye kurenew gharama inaweza kuwa zaidi ya 20,000 tsh kwa mwaka. Kama uko serious na blogging huwezi kosa hio ela..
Me nimetumia airtel master card. Kama huna google jinsi ya kutengeza airtel master card, fata maelezo haichukui mda kupata. Ukishapata unaweza kununu au kulipia kitu chochote mtandaoni.Hivi kupitia mitandao unalipaje binafsi nimeshindwa
Nilikuwa natumia card ya bank Visa card.Me nimetumia airtel master card. Kama huna google jinsi ya kutengeza airtel master card, fata maelezo haichukui mda kupata. Ukishapata unaweza kununu au kulipia kitu chochote mtandaoni.
Kama huna airtel master card unaweza ukatumia card yako ya benk.
Niambie unakwama wapi mkuu
Card yako imewezeshwa kufanya manunuzi mtandaoni (online purchase)? Kama haijawezeshwa haiwez kukubali.Nilikuwa natumia card ya bank Visa card.
Ila kwenye kulipa inakataa harafu hata malipo wanaleta hela kubwa eti zaidi ya 24 elfu kwa mwaka
Google, utapata guide kibao zitakazokuwezesha kuhamisha kutoka blogger kwenda wordpress tena bila kuathiri traffic.Kwaiyo Ngoja niulize jinsi ya kuhamisha blog kutoka blogger mpaka worldpress na gharama zake maana naona blogger kunatatizo kwenye SEO na statistics