Google adsense, search engine optimization and seo trick for beginner in Tanzania

Harafu mkuu nilipitia Website yako niliona option ya kubadili lugha kingereza na kiswahili vipi hiyo ni setting zako au na kuhusu kulipia domain ulitumia njia gani ya malipo.
Malipo nilitumia Airtel Mastercard kuhusu lugha in Google Translate japo kwa sasa hii Feature nimeiondoa
 
Mkuu hiyo 4000 ni cost ya nini.
Je, kwa website yako domain unalipia shingapi ya kitanzania kwa Mwezi/Mwaka
Nimenunua leo domain GoDaddy

Txn Id : MP220221.1249.Q40848,You have paid 2,835.66Tsh to DNHGODADDYCOM .Your available Airtel Money balance : 2,096.75Tsh.

Hiyo ni kwa mwaka, japo kwenye kurenew gharama inaweza kuwa zaidi ya 20,000 tsh kwa mwaka. Kama uko serious na blogging huwezi kosa hio ela..
 
Leo nitaendelea nilipoishia kaeni mkao wa kula pia ninafurahi pia mimi najichotea knowledge kuna vitu nilikuwa sivijui ila kupitia jf nimevijua

Kuna mdau mmoja aliongelea kuhusu ezoic hapa jf ila wengi nadhani hawapo familiar nayo naomba akiweza kuunda thread ya hicho kitu aunde au aweke maelezo yake hapa

Still ezoic ni best kwa caching, CDN, site optimization, inaboost revenue kwa Kutuimia algorithm za AI
 
Kwa hyo hapo ni kujua njia kukuza blog yako haijalishi hata ikiwa huko bloger
Blog kufikiwa na watu wengi au kuwa top ni searching engine optimization

Site za WordPress zinakuwa top kwakuwa kuna plugin nyingi na tool za seo

Wordpress site zinacost kubwa endapo site yako inapokea traffic kubwa

Ila blogger blog ukiifanyia seo vizuri huwezi ona tofauti yako wewe na mtu wa WordPress nikiongelea kuhusu structured data utaelewa coz ni moja ya kipengele unatakiwa tu ujue part za xml template ya blogger na jinsi data zinavyowekwa kwenye xml
 
Leo nitaendelea nilipoishia kaeni mkao wa kula pia ninafurahi pia mimi najichotea knowledge kuna vitu nilikuwa sivijui ila kupitia jf nimevijua

Kuna mdau mmoja aliongelea kuhusu ezoic hapa jf ila wengi nadhani hawapo familiar nayo naomba akiweza kuunda thread ya hicho kitu aunde au aweke maelezo yake hapa

Still ezoic ni best kwa caching, CDN, site optimization, inaboost revenue kwa Kutuimia algorithm za AI
Nashukuru kuona umeifatilia Ezoic mkuu. Ukiacha Ezoic pia kuna Mediavine na Adthrive (hizi ni ngumu sana kukubalikwa kama majority traffic yako sio ya USA) Mediavine wanataka site yenye sessions kuanzia 50,000/m. Sio page views ni sessions.

Btw jana Nimeanza blog mpya lengo ni kuweka matangazo ya Mediavine kufikia desemba 2022.
 
Blog kufikiwa na watu wengi au kuwa top ni searching engine optimization

Site za WordPress zinakuwa top kwakuwa kuna plugin nyingi na tool za seo

Wordpress site zinacost kubwa endapo site yako inapokea traffic kubwa

Ila blogger blog ukiifanyia seo vizuri huwezi ona tofauti yako wewe na mtu wa WordPress nikiongelea kuhusu structured data utaelewa coz ni moja ya kipengele unatakiwa tu ujue part za xml template ya blogger na jinsi data zinavyowekwa kwenye xml
Kuna blog yangu moja ilikuwa blogger kwa zaid ya mwaka na nusu.
Kwenye blogger nilikuwa nimeifanyia optimization zote za SEO na kila kitu (site structure, schema, rich snippets, core web vitals etc.)
Mwaka jana mwezi wa tisa niliiamishia WordPress. Traffic yangu iliongezeka kwa zaid ya asilimia 200%.

Nilichojifunza, kama unategema organic traffic, kutumia blogger is just a struggle.
 
Nimenunua leo domain GoDaddy

Txn Id : MP220221.1249.Q40848,You have paid 2,835.66Tsh to DNHGODADDYCOM .Your available Airtel Money balance : 2,096.75Tsh.

Hiyo ni kwa mwaka, japo kwenye kurenew gharama inaweza kuwa zaidi ya 20,000 tsh kwa mwaka. Kama uko serious na blogging huwezi kosa hio ela..
Hivi kupitia mitandao unalipaje binafsi nimeshindwa
 
Me nimetumia airtel master card. Kama huna google jinsi ya kutengeza airtel master card, fata maelezo haichukui mda kupata. Ukishapata unaweza kununu au kulipia kitu chochote mtandaoni.
Kama huna airtel master card unaweza ukatumia card yako ya benk.

Niambie unakwama wapi mkuu
 
Kwaiyo Ngoja niulize jinsi ya kuhamisha blog kutoka blogger mpaka worldpress na gharama zake maana naona blogger kunatatizo kwenye SEO na statistics
 
Nilikuwa natumia card ya bank Visa card.
Ila kwenye kulipa inakataa harafu hata malipo wanaleta hela kubwa eti zaidi ya 24 elfu kwa mwaka
 
Card yako imewezeshwa kufanya manunuzi mtandaoni (online purchase)? Kama haijawezeshwa haiwez kukubali.

Ni kweli nimeangalia ile offer ya 99% off haipo. Sijui utaipataje tena.

Kama hiyo elfu 24 kwa mwaka bado ni ghali kwako, jaribu kucheck namecheap. com wapo pia wanauza domain kwa bei rahisi
 
Kwaiyo Ngoja niulize jinsi ya kuhamisha blog kutoka blogger mpaka worldpress na gharama zake maana naona blogger kunatatizo kwenye SEO na statistics
Google, utapata guide kibao zitakazokuwezesha kuhamisha kutoka blogger kwenda wordpress tena bila kuathiri traffic.

Kama unadomain tayari, Gharama kubwa ni hosting tu, ambayo rahisi kabisa unaweza ukapata kwa 50,000/year.
 
Back
Top Bottom