Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Ngoja ajeMuelekeze basi AKILI TATU apige ela. Pengine na mimi na wengine tutajifunza pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ajeMuelekeze basi AKILI TATU apige ela. Pengine na mimi na wengine tutajifunza pia
naama mkuu, nipo nakusikiliza lete hoja, ni kwa namna gani natoboa kwa mtaji huu wa page views ambazo ninazo..maana kwa mwezi sometime nalaza mpaka page views milioni nne ....ukiacha tz, nafatiliwa sana na nchi Norway, burma, USA, KENYA NA UJERUMANINgoja aje
Nipe madini Mkuu..nakusikilizaNjoo nikupigie kazi kiongozi kwa mkataba usio hitaji pesa wala nini
Kaka tupe maujanja na sie tulaze pageviews za kutoshanaama mkuu, nipo nakusikiliza lete hoja, ni kwa namna gani natoboa kwa mtaji huu wa page views ambazo ninazo..maana kwa mwezi sometime nalaza mpaka page views milioni nne ....ukiacha tz, nafatiliwa sana na nchi Norway, burma, USA, KENYA NA UJERUMANI
Bro nothing trick, ni passion, uvumilivu na kujua how to set your target na SEO, Passion ikuelekeze kwenye kupenda unachokifanya, yes kama ni blogger for making chap money hapa utafeli faster, mfano mimi wakati naanza pesa haikuwa kipaumbele changu...nilikuwa nasikia raha na mpaka sasa najihisi raha ya ajabu kupost...since naanza nilijiambia hawa watu mia wanaovist kwa siku nafaa nisiwaangushe ..so nikawa na hiyo hali na true wakawa wanaongezeka...pia naona bloggers wengi wanarukia rukia niche/mada/ maudhui ya blog.Kaka tupe maujanja na sie tulaze pageviews za kutosha
Umeongea Kama Mimi kabisa, me pia ni long timer na ni Entertainment journalist nje ya blogs Huwa na feel Raha kwenye kuandika Habari za burudani but sio udaku I hate Tabloid, na huwa nashauri Wengine wasifungue blog kupata pesa.. sema niliacha kuandika Kama miaka mitatu baada ya kupata deal sehemu flani. Mwaka Jana niliamua kuifufua tena nakuta mambo yamechange sana so Kama naanza upya japokuwa ni blog ileile ya miaka yote..Bro nothing trick, ni passion, uvumilivu na kujua how to set your target na SEO, Passion ikuelekeze kwenye kupenda unachokifanya, yes kama ni blogger for making chap money hapa utafeli faster, mfano mimi wakati naanza pesa haikuwa kipaumbele changu...nilikuwa nasikia raha na mpaka sasa najihisi raha ya ajabu kupost...since naanza nilijiambia hawa watu mia wanaovist kwa siku nafaa nisiwaangushe ..so nikawa na hiyo hali na true wakawa wanaongezeka...pia naona bloggers wengi wanarukia rukia niche/mada/ maudhui ya blog.
unakuta mtu anaaza blog ya ajira, kesho kachanganya madesa humohumo nyimbo za kudownload sijui..kesho kaongeza habari yani makorokoro chungu laki...hii kitu nimegundua inawafela sana watu linapokuja suala la rich result ya google, yani blog yako inakuwa kama dampo, so chagua niche moja unayojua kabisa unaimudu, ambayo hata mtu akikurupusha usiku unajua nini utaandika, kama ni michezo simama na michezo, kama siasa simama na siasa,, kama ni muziki pia hivyo hivyo..
Kingine uvumilivu bro, mimi nilainza blog kitambo, but sikuwahi kupay attention kama miaka ya hivi karibuni...nilikuwa nasajili kila idea ya blog kisha naishia njiani..but nilipoamua kutilia mkazo kwwnye hii moja then naona ukuaji wake sasa..ukisearch kwenye google now on blog yangu iko page ya kwanza, tena juu kabisa kwenye niche nayotumia.so uvumilivu unalipa bro.na wengi wanafeli hapa.
weka target zako, na jifunze mwenyewe kuset SEO.
yes, ukiweka target zako inakusaidia kujibidisha kwenye kila ufanyalo, mfano utajiwekea target unataka nini kwenye blog yako miezi mitatu mbele, so utakazana kufikia hiyo target na result lazima ije sawa/karibu au zaidi ya target zako.
Pia jifunze kuset SEO mwenyewe, google namna ya kuset basic SEO kwa blog, zipo articles chungu laki za kujifunza hayo.. tembelea blog zenye niche yako ambazo zimekuzidi..ingia kwenye page source za hizo site, chungulia pale wameweka nini behind the site, then kafanye kwako..amini ndugu yangu utajikuta baada ya kitambo unawakaribia kwenye rich result ya google...mimi njia hii naitajaga kama ushushu, japo kweli huwezi kupata yote yaliyo behind the scene ya blog au website fulani, lakini kwa kutumia view page sources utapata some ideas za hiyo blog walivyoset SEO zao na mbinu mbalimbali za kucheza na google robots n.k
Mwisho kuwa mbunifu,
now days habari almost zinafanana, yani habari zinashabihiana ile ile, so kama ni copy and past blog jifunze kaubunifu, habari ya diamond kutembea na zuchu we ichange itengeze upya kisha , but maudhui yawe yaleyale, mfano website ya the sun habari ya man utd kumsajili Roanldo wataiandika kwa mfumo wa kimbea au kiudaku, na imekuwa hivyo wakati wote na linafahamika kama gazeti/website ya umbea kwa uK, SO nachotaka kusema hapa ukiwa mbunifu inakupa watu wako fulani hivi amaizing ambao watakuwa loyal kwako.
Kufupisha mada, bro, blog is about passion, time dedication, uvumilivu, ukiweka tamaa ya pesa kuwa nifanye blog nipate pesa za chap chap you can't make it count.
Hapa umemaliza kila kitu. Nakumbuka wakati naanza blogging 2017 nilikuwa napenda kuuliza uliza watu, hata humu jf kuna watu niliwasumbua.Bro nothing trick, ni passion, uvumilivu na kujua how to set your target na SEO, Passion ikuelekeze kwenye kupenda unachokifanya, yes kama ni blogger for making chap money hapa utafeli faster, mfano mimi wakati naanza pesa haikuwa kipaumbele changu...nilikuwa nasikia raha na mpaka sasa najihisi raha ya ajabu kupost...since naanza nilijiambia hawa watu mia wanaovist kwa siku nafaa nisiwaangushe ..so nikawa na hiyo hali na true wakawa wanaongezeka...pia naona bloggers wengi wanarukia rukia niche/mada/ maudhui ya blog.
unakuta mtu anaaza blog ya ajira, kesho kachanganya madesa humohumo nyimbo za kudownload sijui..kesho kaongeza habari yani makorokoro chungu laki...hii kitu nimegundua inawafela sana watu linapokuja suala la rich result ya google, yani blog yako inakuwa kama dampo, so chagua niche moja unayojua kabisa unaimudu, ambayo hata mtu akikurupusha usiku unajua nini utaandika, kama ni michezo simama na michezo, kama siasa simama na siasa,, kama ni muziki pia hivyo hivyo..
Kingine uvumilivu bro, mimi nilainza blog kitambo, but sikuwahi kupay attention kama miaka ya hivi karibuni...nilikuwa nasajili kila idea ya blog kisha naishia njiani..but nilipoamua kutilia mkazo kwwnye hii moja then naona ukuaji wake sasa..ukisearch kwenye google now on blog yangu iko page ya kwanza, tena juu kabisa kwenye niche nayotumia.so uvumilivu unalipa bro.na wengi wanafeli hapa.
weka target zako, na jifunze mwenyewe kuset SEO.
yes, ukiweka target zako inakusaidia kujibidisha kwenye kila ufanyalo, mfano utajiwekea target unataka nini kwenye blog yako miezi mitatu mbele, so utakazana kufikia hiyo target na result lazima ije sawa/karibu au zaidi ya target zako.
Pia jifunze kuset SEO mwenyewe, google namna ya kuset basic SEO kwa blog, zipo articles chungu laki za kujifunza hayo.. tembelea blog zenye niche yako ambazo zimekuzidi..ingia kwenye page source za hizo site, chungulia pale wameweka nini behind the site, then kafanye kwako..amini ndugu yangu utajikuta baada ya kitambo unawakaribia kwenye rich result ya google...mimi njia hii naitajaga kama ushushu, japo kweli huwezi kupata yote yaliyo behind the scene ya blog au website fulani, lakini kwa kutumia view page sources utapata some ideas za hiyo blog walivyoset SEO zao na mbinu mbalimbali za kucheza na google robots n.k
Mwisho kuwa mbunifu,
now days habari almost zinafanana, yani habari zinashabihiana ile ile, so kama ni copy and past blog jifunze kaubunifu, habari ya diamond kutembea na zuchu we ichange itengeze upya kisha , but maudhui yawe yaleyale, mfano website ya the sun habari ya man utd kumsajili Roanldo wataiandika kwa mfumo wa kimbea au kiudaku, na imekuwa hivyo wakati wote na linafahamika kama gazeti/website ya umbea kwa uK, SO nachotaka kusema hapa ukiwa mbunifu inakupa watu wako fulani hivi amaizing ambao watakuwa loyal kwako.
Kufupisha mada, bro, blog is about passion, time dedication, uvumilivu, ukiweka tamaa ya pesa kuwa nifanye blog nipate pesa za chap chap you can't make it count.
Kuapply unaweza mkuu, ila kukubaliwa inaweza ikawachangamoto.Wakuu, hivi hii website ilipofikia naweza kuaply adscence
Home
Hapo ukiomba adsense utaambiwa low value content, Tafuta Visitors naamini kwa hizo content zako hupati visitors wengi...mwanzo tunavyoanzaga huwa tunashare ili tupate visitors wengi...adsense waangalia sana hii kituWakuu, hivi hii website ilipofikia naweza kuaply adscence
Home
Kuna error kwenye website sorcecode ambayo inaweza sababisha baadhi ya browsers hasa old kutoweza kuoneshaWakuu, hivi hii website ilipofikia naweza kuaply adscence
Home
Pili kuna mahali pako broken maana kwenye sitemap nikiclick hainipeleki mahala husikaWakuu, hivi hii website ilipofikia naweza kuaply adscence
Home
Bora mmekuja ndugu zangu AKILI TATU Na tabibumtaratibu Kutoa somo humu maana nishawahi waambia watu kuwa pesa huja baadae blogging yatakiwa kwanza itoke moyoni na utenge muda kujifunza nahisi Mungu kawatuma humuHapa umemaliza kila kitu. Nakumbuka wakati naanza blogging 2017 nilikuwa napenda kuuliza uliza watu, hata humu jf kuna watu niliwasumbua.
Nikaona njia ya kuuliza haifai, nikaingia chimbo na kuanza kujifunza kwa kufanya, nilifanya makosa mengi sana ila sikukata tamaa. Sababu passion ilikuwa inanisukuma sana.
Baada ya muda nikaanza kuelewa mambo yanavyoenda, nikaelewa basic coding language, SEO,blog monetisation etc.
Tangu 2017 blog yangu ya kwanza ikakubaliwa AdSense October 2019 hiyo ni baada ya kukataliwa zaid ya mara 20.
Siku inakaubaliwa nakumbuka machozi yalinitoka. Niliamini kuwa sasa mambo yatakuwa vizur na mtaanza kupata hela kutoka kwenye passion yangu. Ila kumbe kazi ilikuwa bado.
AdSense kupata hata $1 kwa siku ilikuwa kazi sana. Sababu nilikuwa sifanyi kwa ajili ya hela haikunisumbua sana ila kuna muda nilikuwa nakata tamaa.
Nilikuwa nikijihisi kukata tamaa nazama YouTube naangalia success stories za blogger wakubwa kina Neil Patel, Harsh Agrawal na wengine.
Nakumbuka Ilinichukua miezi tisa kupata $100 AdSense. Uku nikija JF nakutana na mtu anapiga hizo hela kwa siku ila kwa matrick trick ambayo yalikuwa hayanivutii maana mwisho wake ilikuwa ni kufungiwa account.
Kitu ambacho nilikuwa naamini ni kwamba nikiongeza watembeleaji na pesa itaongezeka. So nikajikita katika SEO hasa on-page SEO, keyword research na off-page SEO. Baada ya hivyo vitu kuleta matokeo chanya nikaanza kuona utamu wa blog.
Hela ikawa inaongezeka taratibu kadri watembeleaji wanavyoongeza. Nikahama AdSense nikaenda EZOIC uko ndo ikawa vizuri zaid.
Sasa nafurahi kwani naweza kuishi kwa passion yangu ya blog tu.
Nilichojifunza
1. Ukifanya blog kwa sababu ya pesa utafeli. Focus on delivering the value, helping people, the money will follow.
2. Acha kutafuta shortcut. Do what it takes
Shida kubwa utakayokumbana nayo kwenye hii site ni 'non-sensical contents' mfano unaandika mambo ya x-rays wewe ni mtaalamu?Namimi mnisaidie kuangalia nini nimesahau IssaZilla
Zamani nilikua natumia kiswahili hivyo nilivyo hamia ngeli bado sija unpublish hizi post mpaka nitakapo omba adsenseShida kubwa utakayokumbana nayo kwenye hii site ni 'non-sensical contents' mfano unaandika mambo ya x-rays wewe ni mtaalamu?
Hiyo ni moja pili site yako imechanganya lungha ambayo haisapotiwi na AdSense.
SURE, Mimi nilianza blog toka nipo O level huko...naenda internet cafe nalipia jero nusu saa..and nakumbuka ndio mara yangu ya kwanza pia kuwa na youtube chanel pamoja na adsens by that time ulikuwa ukifungua youtube tu unapewa na adsens hapo hapo..so passion yangu ni long, wakati huo sijui kitu indepth about blog ..just kuandika tu...Umeongea Kama Mimi kabisa, me pia ni long timer na ni Entertainment journalist nje ya blogs Huwa na feel Raha kwenye kuandika Habari za burudani but sio udaku I hate Tabloid, na huwa nashauri Wengine wasifungue blog kupata pesa.. sema niliacha kuandika Kama miaka mitatu baada ya kupata deal sehemu flani. Mwaka Jana niliamua kuifufua tena nakuta mambo yamechange sana so Kama naanza upya japokuwa ni blog ileile ya miaka yote..
that's it bro..kudos..blog is about passion ...blog yangu maarufu sasa inastory zaidi ya laki mbili huko...nilianza long time..japo ni vile ya kiswahili ....lait adsens wangekuwa wanaruhusu kumonetize kwenye lugha hii...doh..sijui ningekuwa wapi kwa page viewes nazolaza kwa siku na zote ni organic from google, bing na other engine..Hapa umemaliza kila kitu. Nakumbuka wakati naanza blogging 2017 nilikuwa napenda kuuliza uliza watu, hata humu jf kuna watu niliwasumbua.