Ulikubaliwa sio kwa sababu ya visitors mkuu.
AdSense visitors sio kigezo kabisa. Kwani wanaamini site ikimeet their quality quidelines with time itapata visitors tu.
They focus on the long term prosperity of the site.
Wakati niko fiverr nafanya kazi ya kusaidia watu kupata AdSense approval, 80% ya wateja wangu site zao zilikuwa na zero visitors au less than 100 visitors per month, na AdSense wanakubali.
Wanaongalia visitors ni Mediavine (50,000 session/m), Adthrive (100,000 pageviews/m), na Monumetric. Ezoic walikuwa wanaangalia visitors (10,000 visits/month) lakini skuiz wameacha ata ukiwa na zero wanakubali cha msingi site yako ikidhi Google Ad manager quality guidelines.