AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
for me nice blog bro..kikubwa push had kadri uwezavyo...na nilichokipenda umechagua jina zuri ambalo still linaweza kukuletea manufaa..kikubwa kuwa wa pekee kati ya wengi..Wakuu, hivi hii website ilipofikia naweza kuaply adscence
Home
Nakumbuka nilianza blog yangu kwa kiswahili. Ila kwa kuwa kiu yangu ilikuwa AdSense basi ilinilazimu kubadili lugha.that's it bro..kudos..blog is about passion ...blog yangu maarufu sasa inastory zaidi ya laki mbili huko...nilianza long time..japo ni vile ya kiswahili ....lait adsens wangekuwa wanaruhusu kumonetize kwenye lugha hii...doh..sijui ningekuwa wapi kwa page viewes nazolaza kwa siku na zote ni organic from google, bing na other engine..
iko poa blog yako...but bro kati ya kitu ambacho wewe na other blogger humu mnafaa kukizingatia,,,epuka sana kutumia jina lako binfsi kwenye domain name kama si famous ...bro hii kitu ni naked truth nakupa kwa sababu jina nalo linachangia sana kurank blog kwenye line za juu juu...mfano hapo kama huna support ya socila network acc itakuchukua muda kidogo angalau jina la blog yako kuwa lined kwenye page za juu mtu anapotafuta mambo ya tech .Namimi mnisaidie kuangalia nini nimesahau IssaZilla
Bro...blog yangu ya kiswahili lakini kwa mwezi sikosi viewers zaidi ya laki tatu kutoka ulaya na marekani...kuna siku mgid walikuja kichwa kichwa wakajua ni sawa na blog za kwaida tu za kiafrika..kwa dakika chache tu toka wanikubalie ..ikabidi wasitishe kwanza kwa namna ambavyo niliwacharaza dola za fasta fasta...wakadhani natumia bots ...Nakumbuka nilianza blog yangu kwa kiswahili. Ila kwa kuwa kiu yangu ilikuwa AdSense basi ilinilazimu kubadili lugha.
Changamoto ya kuweka Ads kwenye blog ya kiswahili ni kwamba traffic ya kiswahili plus lugha ya kiswahili haina CPM wala CPC nzuri hivyo utaishia kupata vijisenti tu.
Kama una traffic base ya kutosha jaribu njia hizi
1. Uza E-books or any other info product kwenye blog yako
2. Affiliate marketing, tafuta product ambazo ni relevant na niche yako uzipromote kwenye site yako
3. Subscription, tafuta vitu exclusive , fanya mpk mtu asubscribe kwa malipo ndo aweze kuviona.
Ukiwa mbunifu huwezi kosa kitu cha kuingiza hela kupitia blog yako mkuu.
Alafu unajua nini..mimi natengeneza msomaji wa kurudi...sio akisoma amesoma na kusepa ...so kuna wakati nilitaka kuingia kwenye uhuni wa kuchanganya lugha..yani kiswahili na engils ..ili nipate adsense..lakini baadaye nikaona hii itakuwa ni ujuha...nikaachana nao...Nakumbuka nilianza blog yangu kwa kiswahili. Ila kwa kuwa kiu yangu ilikuwa AdSense basi ilinilazimu kubadili lugha.
Changamoto ya kuweka Ads kwenye blog ya kiswahili ni kwamba traffic ya kiswahili plus lugha ya kiswahili haina CPM wala CPC nzuri hivyo utaishia kupata vijisenti tu.
Kama una traffic base ya kutosha jaribu njia hizi
1. Uza E-books or any other info product kwenye blog yako
2. Affiliate marketing, tafuta product ambazo ni relevant na niche yako uzipromote kwenye site yako
3. Subscription, tafuta vitu exclusive , fanya mpk mtu asubscribe kwa malipo ndo aweze kuviona.
Ukiwa mbunifu huwezi kosa kitu cha kuingiza hela kupitia blog yako mkuu.
Nashukuru mkuu Kwa ushauri wako, ntajaribu kufix, lakini meta description nshaweka ndhan robot za google hazija- crawlKuapply unaweza mkuu, ila kukubaliwa inaweza ikawachangamoto.
Mapungufu ninano yaona
1. Site yako haina meta description. Hii inasaidia google kuelewa maudhui ya site yako.
2. Privacy policy yako haijaonesha kama unatumia matangazo ya google.
3. Site yako iko slow. Ondoa widgets ambazo sio lazima na uipangilie vizuri ili iwe na mvuto kwa mtembeleaji.
4. Naona contents zako ni outdated sana. kuna post inaelezea mambo ya 2018. Jaribu kuupdate contents zako ziwe relevant. Adsense wenyewe wanasema With lots of sites out there already, you’ll want to create unique, original, and relevant content that keeps users engaged and encourages them to read more”
Shukrani mkuu, ngoja nichek then nifixPili kuna mahali pako broken maana kwenye sitemap nikiclick hainipeleki mahala husika
Ahsante mkuufor me nice blog bro..kikubwa push had kadri uwezavyo...na nilichokipenda umechagua jina zuri ambalo still linaweza kukuletea manufaa..kikubwa kuwa wa pekee kati ya wengi..
Kitu nilichokipenda kutoka kwako mkuu ni kuwa user experience ni kipaombele chako. Thats very great in blogging world.Bro...blog yangu ya kiswahili lakini kwa mwezi sikosi viewers zaidi ya laki tatu kutoka ulaya na marekani...kuna siku mgid walikuja kichwa kichwa wakajua ni sawa na blog za kwaida tu za kiafrika..kwa dakika chache tu toka wanikubalie ..ikabidi wasitishe kwanza kwa namna ambavyo niliwacharaza dola za fasta fasta...wakadhani natumia bots ...
kwa hizo items hapo bro, nitajaribu ila kiukweli nakuwa mzito sana linapokuja suala la kuwadiscourage wasomaji wangu...kuna mtu alinishauri niweke popunder ads za propellar ..nikajiuliza kama mimi tu nazichukia hivi..vipi wasomaji wangu..so naonaga sometime kama hakuna ads agency mzuri bora niwe natoa burudani tu kwa wasomaji wangu..nimeanzisha mfumo wa kusubscriber hivi karibuni..lakinilengo langu ni tofauti na hilo..mimi lengi ni kuwa izidi kukua..kisha nitakuja kutumia googles ads manager ambapo najua fika hapo lazima wanipe...now nafikisha viewers zaidi ya milioni nne kwa mwezi..nasikia ukifika viewrs milioni tisa ukiwaomba wanakupa..so nitakuwa nadislay matangazo ya adsesn kwa mfumo huo.
Wakati naangalia Meta description sikuona.Nashukuru mkuu Kwa ushauri wako, ntajaribu kufix, lakini meta description nshaweka ndhan robot za google hazija- crawl
[emoji736] Kuhusu privacy policy vp naweza kuonyesha natumia adcence na wakati sijapata?
Aaah kumbeWakati naangalia Meta description sikuona.
Kuhusu privacy policy ndo Google wanavyotaka. Uoneshe kuwa unatumie third party Advertisers ili user ajue.
Kweli kabisaSURE, Mimi nilianza blog toka nipo O level huko...naenda internet cafe nalipia jero nusu saa..and nakumbuka ndio mara yangu ya kwanza pia kuwa na youtube chanel pamoja na adsens by that time ulikuwa ukifungua youtube tu unapewa na adsens hapo hapo..so passion yangu ni long, wakati huo sijui kitu indepth about blog ..just kuandika tu...
so wengi wanafungua blog/yutube kwa kuwa wameskia kuna pesa wanakimbilia huko..end of days wanamanipulate na kuonekana its cheap bussiness na hata google wenyewe wakinote hivyo vitu wanashusha thamani ya nchi ..thus why blog miaka kumi na tano nyuma ilikuwa na value sana tanzania, kulinganisha na sasa...nisieleweke napinga watu kujiajiri kupitia blog/youtube but wengi wanaingia huku bila kujua a.b.c zake.
Baada ya miaka 3 -5 Google wataanza kumonetize site za kiswahili Note this pointthat's it bro..kudos..blog is about passion ...blog yangu maarufu sasa inastory zaidi ya laki mbili huko...nilianza long time..japo ni vile ya kiswahili ....lait adsens wangekuwa wanaruhusu kumonetize kwenye lugha hii...doh..sijui ningekuwa wapi kwa page viewes nazolaza kwa siku na zote ni organic from google, bing na other engine..
ila itakuwa comission zake low sana, japo itaokoa kimtindoBaada ya miaka 3 -5 Google wataanza kumonetize site za kiswahili Note this point
Naamini katika hili maana lugha inakua na watumiaji ni wengiBaada ya miaka 3 -5 Google wataanza kumonetize site za kiswahili Note this point
Zero visitors it means hata ukiwa huna visitor wanaweza kukupa approved?...No kumbuka nao adsense ni wafanya biashara watawekaje Matangazo yao kwenye site ambayo haina visitors au inapata visitors wachache?...Hapo kwenye content uko sahihi mkuu ni low value. Ila kuhusu visitors Adsense huwa sio kigezo kabisa cha kukubaliwa hata 'zero visitors' huwa wanakubali. Ili mradi site iwe imekidhi their quality guidelines.
Ulikubaliwa sio kwa sababu ya visitors mkuu.Zero visitors it means hata ukiwa huna visitor wanaweza kukupa approved?...No kumbuka nao adsense ni wafanya biashara watawekaje Matangazo yao kwenye site ambayo haina visitors au inapata visitors wachache?...
Mimi site yangu nilifungua hata ile themes sikutengeneza vizuri na nilikuwa nacopy sema naedit vitu...ila Ukija kwenye visitors nilikuwa nalaza 1k per day.....kumbuka hapo ni mwanzo nilikuwa nashera kadri niwezavyo uwezi amini wiki mbili tu nilikubaliwa
Mkuu kati ya Ezoic na Adscence ipi Kwa upande wako unaona ukipambana pesa unaweza kupataUlikubaliwa sio kwa sababu ya visitors mkuu.
AdSense visitors sio kigezo kabisa. Kwani wanaamini site ikimeet their quality quidelines with time itapata visitors tu.
They focus on the long term prosperity of the site.
Wakati niko fiverr nafanya kazi ya kusaidia watu kupata AdSense approval, 80% ya wateja wangu site zao zilikuwa na zero visitors au less than 100 visitors per month, na AdSense wanakubali.
Wanaongalia visitors ni Mediavine (50,000 session/m), Adthrive (100,000 pageviews/m), na Monumetric. Ezoic walikuwa wanaangalia visitors (10,000 visits/month) lakini skuiz wameacha ata ukiwa na zero wanakubali cha msingi site yako ikidhi Google Ad manager quality guidelines.
Route huwa iko hiviMkuu kati ya Ezoic na Adscence ipi Kwa upande wako unaona ukipambana pesa unaweza kupata
Aaah kumbe. Shukrani [emoji120]Route huwa iko hivi
Adsense -> Ezoic -> Mediavine -> Adthrive
Pia Ezoic inalipa zaidi kuliko adsense na wanalipa kwa EPVM
Ezoic unaweza ukatoa $20 wakati adsense ukifikisha $100