Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Natumia Huawei P9 Android version ni 7.0 Nougat. Msaada please
 
daa!! Aisee Bless Sana mkuu kwa kuleta thread hii,nime install hii app kwenye NokiaX6 yangu inapiga pichaaa kalii kinomaaa kuliko camera iliyokuwepo mwanzo kwenye simu.
 
Nimejaribu ya S9 imekuwa ina kwama kwama

Naomba unisaidie ya S8 G 955U
mkuu basi utakua umepata version ambayo sio nzuri...

ngoja nikuchekie ya s8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…