Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Natumia Huawei P9 Android version ni 7.0 Nougat. Msaada please
 

run hiyo app kwanza mkuu kisha post result
Mkuu! Itakuaje hapa?
Screenshot_20190513-110450.jpeg
 
daa!! Aisee Bless Sana mkuu kwa kuleta thread hii,nime install hii app kwenye NokiaX6 yangu inapiga pichaaa kalii kinomaaa kuliko camera iliyokuwepo mwanzo kwenye simu.
 
Back
Top Bottom