Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako


Jarbu hiyo ni copy ya gcam kwa simu za mtk na znazokosa gcam yenyew

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Naona kwenye infinix s4 imegoma Mana zimekuja port za ku download nyingi nimechagua ya kwanza kabisa ika download na ku install vzr ila imegoma kufunguka labda nijaribu kwenye Samsung
 
Mkuu msaada wa link tena ya Nokia 6.1 plus, simu kidogo ilijifuta mafile yote.
 
Mkuu hii imekubali kwenye oppo yangu

Kuna nini kinafuata?
 
Back
Top Bottom