kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #2,661
A30s tumien copy ya gcamTunaomba link ya A30s wadau
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A30s tumien copy ya gcamTunaomba link ya A30s wadau
Mimi kwenye A20s imekataa,nime download,nimeinstall lakini imekataa kufanya kazi,inaniambia apps keep stopping...
Imekubali kudownload mpaka kuinstall,ila haifanyi kazi,inasema app keeps on stopping...
Na samsung A10 inakaa
Basi tena mkuu..hilo ndo lilikua tumaini lakoImekubali kudownload mpaka kuinstall,ila haifanyi kazi,inasema app keeps on stopping...
Naona kwenye infinix s4 imegoma Mana zimekuja port za ku download nyingi nimechagua ya kwanza kabisa ika download na ku install vzr ila imegoma kufunguka labda nijaribu kwenye Samsung![]()
Jarbu hiyo ni copy ya gcam kwa simu za mtk na znazokosa gcam yenyew
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hebu jarbu huko tuoneNaona kwenye infinix s4 imegoma Mana zimekuja port za ku download nyingi nimechagua ya kwanza kabisa ika download na ku install vzr ila imegoma kufunguka labda nijaribu kwenye Samsung
shukran mkuu,ngoja niicheki
10 mkuu
Wajomba msaada gcam ya redmi note 9 pro
Hakuna ila search kweny uzi gcam go ukiona link jarbu hiyo
Shukrani sanaa