Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Unawekaje? Una download application?
 
Sasa kuna ukali gani hapa.
Mnashobokea 'mibrand' ndio maana mnaishiwa kupigwa hela ndefu kununua cm hata uwezo mnaosifia hauonekani.
Mkuu mbona hueleweki kama unalalamika au unaelezea?

Aliekwambia kapigwa hela ndefu ni Nani?

Mwisho kabisa inabidi tu ueshimu Mlengo wa Uzi na kama we huoni huo ukali wa camera za Google tulengeshe unazoona wewe ni Kali
 
Na wewe ni walewale tu.
Mmekariri. Hiyo camera yenu inaweza ikaifikia hata robo ya ubora wa hii camera? Unajua nimepiga kwa camera gani.
 
Ninatumia oppo a93,nmedownload gcam nikaweka comfiguration lakini camera haifunguki,nikiclear inafunguka kawaida ty ila nikiweka comfiguration tu Inagoma kufunguka.

Nb naweka comfiguration za iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…