kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #3,701
Kwenye stock hupati hyo shida?Hata naelewa sasa boss
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye stock hupati hyo shida?Hata naelewa sasa boss
No wonder unaropoka ropoka kwenye thread za watu, hata jamvi unashindwa kununua. Acha majigambo wale waliosema unaasukumiwa vituu kwenye ule Uzi hawakukosea kabisa.Picha imepigwa na TECNO Common 11.
Sioni utofauti na mi-Redmi note yenu hiyo!!
View attachment 2171484
Unawekaje? Una download application?Mkuu vipi ulifanikiwa kuunganisha mabao? Anyways nakukumbusha huu uzi sio wa brand yoyote kama unavyosema wewe,huu ni uzi wa Google camera,kwaiyo hata ww kwenye Tecno Yako kama unaweza weka GCAM weka..Acha makasiriko
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Pole mkuu Tecno haisupport google camera..kwa sasa tumia hyo hyo camera yako tu.Unawekaje? Una download application?
Kwenye stock inakua tu kawaida ila nikiweka potrait tu,picha inakua na ukungu2 pembeni zen katikati inakua clear
Kwiayo ukungu unatokea pia kweny stock upande wa portrait sio?Kwenye stock inakua tu kawaida ila nikiweka potrait tu,picha inakua na ukungu2 pembeni zen katikati inakua clear
Hizo Configuration za iPhone unazipata wapi mbona mm sijaziona kwangu
Hii gcam Gani? Hizi sio custom config,unatakiwa ku install manually
Hii Nikita ulituma link page ya nyuma hapoHii gcam Gani? Hizi sio custom config,unatakiwa ku install manually
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sasa unatakiwa ufate maelezo jinsi ya kuweka config,upo telegram nikutumie clip!Hii Nikita ulituma link page ya nyuma hapo
Achanane mshamba huyo! Hajui kufuata maelekezo. Mbona mie nimefatisha fasta tu nimeweza.Sasa unatakiwa ufate maelezo jinsi ya kuweka config,upo telegram nikutumie clip!
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona hueleweki kama unalalamika au unaelezea?Sasa kuna ukali gani hapa.
Mnashobokea 'mibrand' ndio maana mnaishiwa kupigwa hela ndefu kununua cm hata uwezo mnaosifia hauonekani.
Na wewe ni walewale tu.Mkuu mbona hueleweki kama unalalamika au unaelezea?
Aliekwambia kapigwa hela ndefu ni Nani?
Mwisho kabisa inabidi tu ueshimu Mlengo wa Uzi na kama we huoni huo ukali wa camera za Google tulengeshe unazoona wewe ni Kali
[emoji23] hatuna wingu jeupe kama unga wa mahindi mkuu,,Na wewe ni walewale tu.
Mmekariri. Hiyo camera yenu inaweza ikaifikia hata robo ya ubora wa hii camera? Unajua nimepiga kwa camera gani.
View attachment 2171927
Mwambie Tecno haisupport gcam kiongozcamera ya Tecno camon 11 mwanangu anaomba
Configuration zakePakua iloandikwa eng apk
Nikita: NGCam_7.4.104-v2.0
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app