Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Tafuta configuration boss,gcam haiwezi fanana na stock camera
 
nimejaribu kuistall hii imekubali kwenye redmi note 8pro lakini quality iko chini,je kuna sehemu nakosea o kuna link tofauti??msaada mkuu
 
nimejaribu kuistall hii imekubali kwenye redmi note 8pro lakini quality iko chini,je kuna sehemu nakosea o kuna link tofauti??msaada mkuu
Umetumia configuration yoyote au camera tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…