kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,517
- 7,984
- Thread starter
- #4,061
Tafuta configuration boss,gcam haiwezi fanana na stock cameraWakuu nimegundua kitu kwenye Samsung galaxy note 10 plus kamera yake iko vzr hakuna tofauti na gcam niyoinstall picha Zina ubora sawa. Hata YouTube kuna dada alikuwa anafanya comparison Kati ya camera ya simu na gcam zote zina ubora sawa nimeamua kufuta gcam maana zinalingana