Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nimewahi kujaribu kudownload hiyo Gcam ya Galaxy s8 ila ikagoma, hapo kwenye chip sielewi labda ungenielekeza namna ya kufanya.
Angalia simu yako inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon au Samsung Exynos
Ingia Settings then About phone ukatafute sehemu ya chipset
 
Back
Top Bottom