Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Mkuu mbona kimya hapa!!!
Mbona kwenye simu yangu inakataa natumia Samsung s8
Chip gan unatumiaMbona kwenye simu yangu inakataa natumia Samsung s8
Brooh naweza pata gcam port kwa redmi 10x pro kwel
Nimewahi kujaribu kudownload hiyo Gcam ya Galaxy s8 ila ikagoma, hapo kwenye chip sielewi labda ungenielekeza namna ya kufanya.
Angalia simu yako inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon au Samsung ExynosNimewahi kujaribu kudownload hiyo Gcam ya Galaxy s8 ila ikagoma, hapo kwenye chip sielewi labda ungenielekeza namna ya kufanya.
Nimecheki hapa saiv inatumia ExynosAngalia simu yako inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon au Samsung Exynos
Ingia Settings then About phone ukatafute seh8ya chipset
Subiri kcamp aje akusaidieNimecheki hapa saiv inatumia Exynos
Exynos ni mziki,ngoja tucheki vzrNimecheki hapa saiv inatumia Exynos
Sawa mkuu
Sawa mkuu
Pamoja sana mkuuArnova8G2 GCam APKs - Google Camera Port
Modified Google Camera app by Arnova8G2.www.celsoazevedo.com
Jarbu Arnova 7.3
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Broh naweza pata gcam port kwa redmi 10x pro kwelAngalia simu yako inatumia chipset ya Qualcomm Snapdragon au Samsung Exynos
Ingia Settings then About phone ukatafute sehemu ya chipset
Ukimuuliza mleta mada atakusaidia mkuuBroh naweza pata gcam port kwa redmi 10x pro kwel
Nadhani itakua reply yangu hajaiona ila nilimuulza piaa huko juuUkimuuliza mleta mada atakusaidia mkuu