Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Hii umepiga katika angle gani boss wangu
kuna mode ya photo sphere, ukishapiga inakua kama panorama,kisha unaiingiza kweny tiny planet kupata hiyo angle
 
Asante kwa mada hii, naomba link ya Samsung galax A6. Asante
 
Mbona hamleti hizo picha za after na before wakuu tuone kwa macho utamu wa Gcam kwa ambao simu zetu zinamlolongo ku enable 2api Camera.
 
Mbona hamleti hizo picha za after na before wakuu tuone kwa macho utamu wa Gcam kwa ambao simu zetu zinamlolongo ku enable 2api Camera.
Mkuu itabd uenable api hyo
 
Unatumia gcam version ipi? Mi natumia kweny s6 hiyo picha zake stock haifati
Nimedownload gcam lakini picha zake siyo nzuri bora za camera original
Labda nimekosea, natumia galaxy s6 android 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…