Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kweli chief, Google pixel 3xl camera yake ni nzuri sasa yan sana. Ni moja kati ya simu ambazo ni wachache sana wanazo.
Huawei P30 pro daahh nisishike hela karibuni, hiz simu kwa kipengele cha camera wameua wengi
Kama shida yako ni camera unaweza kuchukua hata Honor View20 ambayo ni cheap ukilingqnisha na P30 Pro. Yaani ni one of the best phone cameras in the market
 
Bado mkuu,jana nimepata ya A30 samsung nikaweka link hapa..so redmi nayo ikipatakana tu nitakutag mkuu
Na iwe hivyo mkuu maana nisije iuza nikaanza kujutia hela haikai ningejilipua tu na note 7au pro
 
Aya ila duuh hakuna waelewa huku bush mtu kumwambia kua unauza simu na nikampuni tofauti na hawa kina tekno na infinix anaweza asikuelewe kabisa
 
Back
Top Bottom