Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimedownload ila kwenye potrait haifanyi kazi
Nimedownload ila kwenye potrait haifanyi kaziView attachment 1145015
Oh jaribu ku clear data na cache kisha jaribu tena tuone
Asante[emoji119] sawa mamy ikipatkana nyingine nitakutag basi
Nilichogundua ni kwamba hiyo ndio correct version ya A30,sema shida ni kwamba camera 2 api iko disabled kweny A30 ndiomana potrait haifanyi kaziAsante
Nimeidownload kwenye kaA30 kangu ila potrait na night sight ziko disabled
Pia ubora wa picha naona ni comparable na stock camera ya simu sasa sijui nakwama wapi
Daaaah ebhana eeeh hii gcam ni msalaView attachment 1153264
Ajali kidogo, ila hii app ni hatar sana halafu hpo ndani sijatumia hta portrait modeHaha Mkuu mguu vip Tena
Simu aina gani?Daaaah ebhana eeeh hii gcam ni msalaView attachment 1153264
Leagoo m13Wakuu bila kupoteza muda,,Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.
Haina ubishi,hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe
Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel,zile simu zinapiga picha hatari,Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.
FEATURES
Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu
1.GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja,Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma,Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode
hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon[emoji3]
2.HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.
3.Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake,hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.
DOWNLOADS
Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.
Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yako
![]()
Google Camera Port Hub
This is a hub for all the various Google Camera ports for devices from Samsung, LG, HTC, Xiaomi, Motorola, and many more.www.xda-developers.com
![]()
Google Camera Ports Download
Modified Google Camera ports (Pixel Camera) by BSG, Arnova8G2, BigKaka, Shamim, and others. Download hub for GCam ports.www.celsoazevedo.com
au pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.
make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall
##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...
![]()
Manual Camera Compatibility - Apps on Google Play
Easily check whether your device supports manual camera settings!play.google.com
tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa
CHANGAMOTO
challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.
Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.
Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.
View attachment 1094995View attachment 1094996View attachment 1094997View attachment 1094998View attachment 1094999View attachment 1095000View attachment 1095005View attachment 1095006
S7 edgeSimu aina gani?
Daaaah ni kisanga na kilo 100Pole mkuu
Hiyo kitu balaa,ukipiga potrait watasema canon[emoji38]
Ficha sura hiyo boss usipende ku expose identity yako Mtandaoni sio Instagram Huku au FB.Daaaah ni kisanga na kilo 100View attachment 1153484