Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba link uliyotumiaUnatumia gcam version ipi? Mi natumia kweny s6 hiyo picha zake stock haifati
Dhaaa picha zimenitoa udenda mkuu apk ya galaxy j7 prime ujaipata ambayo iko vizurHaha umetisha mkuu [emoji3]
Haha umetisha mkuu [emoji3]
Aise nime install kwenye redmi note 7 ni balaa tupu hii camera
Tena ukitaka kuzifaidi upige zile za kukata nusu...aisee sio poaNdugu yangu majuzi apa nlipiga picha kwenye note 7 redmi mshikaji akasema tushindane yeye ana iphone 7+ izo potrait za gcam bro jamaa kasurender haamini kabisaa..gcam ni NOMAA
Sawa kiongozi fanya ivyoMkuu bado ,nazisaka hizo za j seriz na seriz mana najua zina deni hapa jukwaani
Kwa huawei check kwenye appgallery yao,huwa ipo. Japo haina feature nyingi sana.search google camera utaionaNinaomba ya Huawei P9 Android 7 Nougat mkuu
Mpka natamani niibadilishe simu japo ni simu moja taam saana
Ebu nisaidie link nzuri ya kufanya TWRP katika redmi note 6 pro yangu niweke hii kitu na je kuna hasara ya kutopata Updates kwa kufanya hii kitu mkuu!Huawei p9 mkuu sijaona gcam yake bado..
Hamia hata redmi note 7 utaenjoy gcam sana
Aise nime install kwenye redmi note 7 ni balaa tupu hii camera
Naomba link ulipotoa hiyo kwa ajili ya redmi note 7 yangu
![]()
Google Camera Port Hub
This is a hub for all the various Google Camera ports for devices from Samsung, LG, HTC, Xiaomi, Motorola, and many more.www.xda-developers.com