Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Zinakua zinaonekanaje mkuu? Video zina quality nzuri?
Ndo version nayotumia,yaani concern ilikuwa nje kidogo na suala la camera, simu hii ya edge videos kuna zinaonekana vibaya hta za kudownload, kule insta n.k
 
Vipi kwa sisi tunaotumia j1 tunaweza kuinstall hiyo camera au samsung galaxy j1 zinasupport hiyo portrait?
Process ya kuinstall ikoje
 
Vipi kwa sisi tunaotumia j1 tunaweza kuinstall hiyo camera au samsung galaxy j1 zinasupport hiyo portrait?
Process ya kuinstall ikoje
J1 haiwez mkuu,hata Android version yke tu haijafka 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…