Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

File naona kubwa Kama 134 Mb so haikubali ku upload jf. Hii Kwa Redmi 7
Umeua bendi mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Leta link ya ulipotoa setup ya gcum (source) sio file location kwenye sim yako
 
Gusa hivyo vimstar vitatu hapo juu kushoto.. kisha utaona Option imeandikwa potrait,fungua sasa hyo potrait...ikifunguka camera basi tayar upo kweny potrait mode

Unaweza jarbu kumpiga mtu picha ukaona ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…