Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

File naona kubwa Kama 134 Mb so haikubali ku upload jf. Hii Kwa Redmi 7
Umeua bendi mkuu[emoji2][emoji2][emoji2]
Leta link ya ulipotoa setup ya gcum (source) sio file location kwenye sim yako
 
Gusa hivyo vimstar vitatu hapo juu kushoto.. kisha utaona Option imeandikwa potrait,fungua sasa hyo potrait...ikifunguka camera basi tayar upo kweny potrait mode

Unaweza jarbu kumpiga mtu picha ukaona ilivyo
 
Mkuu kwa sasa Google Pixel ni tishio kubwa kwa ubora wa kamera. iPhone anaadabishwa tu!
Kama ndo basi sio ya kijanja sana.Vipi kwa Iphone una recommendation ipi ni mazuri
IMG_20190721_123007.jpeg
IMG_20190724_125716.jpeg
IMG_20190721_123005.jpeg
IMG_20190719_222912.jpeg
IMG_20190717_222955.jpeg
IMG_20190724_125533.jpeg
 

Attachments

  • IMG_20190724_125844.jpeg
    IMG_20190724_125844.jpeg
    75 KB · Views: 40
Back
Top Bottom