Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu
Ukipata share na huku, mimi pia nahitaji 2xl au 3a
 
True... Ila wanasema camera zipo sawa zinatofautiana vitu vingine tu, ni kweli?
Zinatofautiana tu size za vioo pamoja na battery. But vilivyobaki vyote ni the same.

Hizi simu zina camera moja matata sana. Nadhani ndio google pixel yenye camera kali.

Pita youtube uone comparison zake na simu kama samsung s10+ na huawei p30 pro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…