Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Yeah jamaa wanajua kucheza na setting kuna setting zipo kwenye camera nilishangaa kuna siku nilipozifatilia.

Unaweza piga picha mchana ila ikafanya kama umepiga usiku ila hizi zote ziko kwenye manual settings.

Pia ebu nipe tips za hiyo lightroom inakuwaje kiongozi.🤔
 
Yeah jamaa wanajua kucheza na setting kuna setting zipo kwenye camera nilishangaa kuna siku nilipozifatilia.

Unaweza piga picha mchana ila ikafanya kama umepiga usiku ila hizi zote ziko kwenye manual settings.

Pia ebu nipe tips za hiyo lightroom inakuwaje kiongozi.[emoji848]
Nenda youtube search lightroom mobile presets kisha utachagua utayopenda kujifunza..zipo kibao
 
Mbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Labda iwe hivyo
 
Sema tu hizi simu wanafeli Maumbo yake bado ya kizamani wakati wenzao wapo less-bezel wao simu bado ziko old fashion pia bei zao dah mkasi na upatikanaji wake wa shida pia hata ukizitafuta mtandaoni inahitaji nguvu nyingi pia ili upate seller sahihi.
Of course google wanakwama sana kwenye design ya simu zao. Simu zao kali ila maumbo yapo local sana. Wawaangalie samsung au huawei...
 
Aisee mbona simu kali tu!
IMG_20190731_185156.jpeg
 
Back
Top Bottom