Yeah jamaa wanajua kucheza na setting kuna setting zipo kwenye camera nilishangaa kuna siku nilipozifatilia.Mbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Unaweza piga picha mchana ila ikafanya kama umepiga usiku ila hizi zote ziko kwenye manual settings.
Pia ebu nipe tips za hiyo lightroom inakuwaje kiongozi.🤔