Yeah jamaa wanajua kucheza na setting kuna setting zipo kwenye camera nilishangaa kuna siku nilipozifatilia.Mbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Nenda youtube search lightroom mobile presets kisha utachagua utayopenda kujifunza..zipo kibaoYeah jamaa wanajua kucheza na setting kuna setting zipo kwenye camera nilishangaa kuna siku nilipozifatilia.
Unaweza piga picha mchana ila ikafanya kama umepiga usiku ila hizi zote ziko kwenye manual settings.
Pia ebu nipe tips za hiyo lightroom inakuwaje kiongozi.[emoji848]
Hiyo ipoje mkuu?Aaah acha utani boss Gcam ni kali hapo pia wansema night sight ni kali zaidi kwa Gcam.
Labda iwe hivyoMbona mkuu ndio hizi hata sisi tunapiga znakua Kali tu....labda tips nyingine wenzetu wanatumia sana snapseed na lighroom kunogesha picha zaidi..mi pia nmeanza kutumia Lightroom kwenye picha za gcam..zikitoka hapo shidaa zaidiii
Of course google wanakwama sana kwenye design ya simu zao. Simu zao kali ila maumbo yapo local sana. Wawaangalie samsung au huawei...Sema tu hizi simu wanafeli Maumbo yake bado ya kizamani wakati wenzao wapo less-bezel wao simu bado ziko old fashion pia bei zao dah mkasi na upatikanaji wake wa shida pia hata ukizitafuta mtandaoni inahitaji nguvu nyingi pia ili upate seller sahihi.
Hapo sijajua boss maana Gcam kwenye simu yangu inakataa kabisa.Hiyo ipoje mkuu?
Unaseti kwenye night sight mode ambayo haina flash usiku au?
Aisee mbona simu kali tu!Of course google wanakwama sana kwenye design ya simu zao. Simu zao kali ila maumbo yapo local sana. Wawaangalie samsung au huawei...
Angalia matoleo ya nyuma kuacha hii..yote yamefubaaAisee mbona simu kali tu! View attachment 1168586
Aisee mbona simu kali tu! View attachment 1168586
Angalia matoleo ya nyuma kuacha hii..yote yamefubaa
Nimepiga bila ya flash sehemu yenye Giza .Hapo sijajua boss maana Gcam kwenye simu yangu inakataa kabisa.
Kama una Tecno na binamu zake kina Itel na infinix sahau kabisa haya makituJamani sisi ambao simu zetu hazisupport tuazimeni hizo camera
Mkuu upo dar?Nimepiga bila ya flash sehemu yenye Giza .
Zote ni night MODE
View attachment 1168664
👆Default camera
GCAM
👇
View attachment 1168665
Kweli jamaa ni nyoko mambo ya gizani
View attachment 1168705
🙄🙄
View attachment 1168707
nna ka samsungKama una Tecno na binamu zake kina Itel na infinix sahau kabisa haya makitu
Nimepiga bila ya flash sehemu yenye Giza .
Zote ni night MODE
View attachment 1168664
[emoji115]Default camera
GCAM
[emoji116]
View attachment 1168665
Kweli jamaa ni nyoko mambo ya gizani
View attachment 1168705
[emoji849][emoji849]
View attachment 1168707
Kuanzia Pixel 3, Pixel 3 XL, Pixel 3a & Pixel 3a XL waliboreshsha muonekano zipo zinavutia sana.Matoleo yaliyopita yote design zake ni mbovu....
Ndio mkuuMkuu upo dar?
Sawa Brother! Kuna namna nimeangalia picha tu nikajua!Ndio mkuu
Zinavutia ila muonekano ni uleule ..hata hii Google pixel 4 na 4xl zipo tuuKuanzia Pixel 3, Pixel 3 XL, Pixel 3a & Pixel 3a XL waliboreshsha muonekano zipo zinavutia sana.View attachment 1168744