Vipi infinix inafaa au tukae pembeni?
Hiyo nayo ni mtk mkuu..familia moja na tecno
Nashukuru kwa ukweli unaouma mkuu
mkuu unatumia version gan mana me natumia kwny s7 edge naona inakua na error nyinghapana mkuu s6 pia inakubali..mim natumia kweny s6
Dah mboma kama mnanitamanisha sana aiseekwenye teknolojia ya camera sidhani kama kuna anaemzidi Google..
kampuni zingine zinatoa mpk simu za camera 4 & bado hawamfikii yeye mwenye camera moja!
mkuu unatumia version gan mana me natumia kwny s7 edge naona inakua na error nying
mkuu nunua hata xiaomi
jaribu ujionee mwenyewe mkuuDah mboma kama mnanitamanisha sana aisee
Dah!!! Mbona unazidi kuniumiza mkuu una lengo gani na mm leo [emoji849][emoji849][emoji32][emoji32][emoji32][emoji848][emoji848][emoji848]dah hakuna zaidi ya Google camera mkuu [emoji3]
Sio vizur jmn Mungu hapendi [emoji134][emoji134]Kwahiyo watu wa tecno wasome comment tuu wapite?
mkuu kwenye simu za oppo lazma uinstall camera2API kwanza ndio kisha uje kuweka apk ya Gcam
Nimewachek hakuna simu hata moja kwenye page yaowacheki southtobongo page yao insta..ila ni ghali huku kwetu
Mkuu mbona hii link inanipeleka YouTube badala ya ku download camera husikajaribu hii