Mungu yupo tu sisi T
REDMI note 7 View attachment 1272268
google camera v 5.0
MediaFire is a simple to use free service that lets you put all your photos, documents, music, and video in a single place so you can access them anywhere and share them everywhere.www.mediafire.com
Jaribu hiyo
Shukrani..imekubali kua installed lakini haifunguki kabisaa..inaleta hii pichaView attachment 1272512
Hiyo ilikua ya kutest tu haiko guaranteed ..mama hiyo simu ndogo kwa gcam...jarbu ku clear cache na data za gcam kisha fungua upya uone
Nimepata ya A10 lakini ilikuwa made for m10Sorry kwa usumbufu kijna..nimefungua but sioni cache wala data...labda kuna sehemu cjapaona
Nimepata ya A10 lakini ilikuwa made for m10View attachment 1272921
Hizo hapo unachagua brand ya sim inakulete modelsUmetisha mkuu ungeweka na link
Redmi note 7 pro mkuuUmeweka kweny ipi
Mkuu umetumia Gcam version ipi?
Pia umewekaje settings zake?
aiseeee nipo na RN7 embu share link uliyo pakulia hii kitu mzazi
Hii ya simu yenyewe
Mkuu hapo cm haina gcam
Mbona hiyo gcam zipo mkuu