Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Shukrani..imekubali kua installed lakini haifunguki kabisaa..inaleta hii picha

Jaribu hiyo
Screenshot_20191125-203502_Camera.jpeg
 
Sorry kwa usumbufu kijna..nimefungua but sioni cache wala data...labda kuna sehemu cjapaona
Hiyo ilikua ya kutest tu haiko guaranteed ..mama hiyo simu ndogo kwa gcam...jarbu ku clear cache na data za gcam kisha fungua upya uone
 
Back
Top Bottom