Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

CHANGAMOTO

challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.

Mkuu nimetumia link ya Samsung S7 edge hapo juu na inasumbua sana.
Naweza kupata link nyingine?
Simu yangu ni s7 edge, SM-G9350

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…