Mkuu naomba link ya gcam kwa samsung s8
Sijakupata Mkuuhttps://f.celsoazevedo.com/file/cfiles/gcm1/GCam_7.2.010_Burial-vC_release14.03.20.apk
Hii ipo na configuration file yake unatakiwa pia uiweke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona ulisema mtk wasubiri sana hiyo redmi note 8pro ni mtk naomba ufafanuzi kwenye hilo..
Mkuu mbona ulisema mtk wasubiri sana hiyo redmi note 8pro ni mtk naomba ufafanuzi kwenye hilo..
Sent by nokia tochi
Ok mkuuSetting>>>>About device>>>Software information
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mkuu ungetaja version iliyokua inakusumbua ingekua poa ili tujue ipi yenye shida kwakoMkuu msaada wa samsung S6 plain-SAMSUNG-SM-G920V-VERIZON.
Niliwahi kupata link humu na nikawa naitumia,shida ilianza kusababisha simu kuanza kuchemka sana na mara nyngine nikipga picha mbili au tatu camera inagoma au simu inarud kwny Home page.
Vp boss hakuna link nyngne nzuri ambazo hazizingui kwa model ynq hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss samahani naona nimeshaifuta ila niliichukua kwny post za zamani huko juu,km unaweza ukanitumia tu nyngne then nijarbu kuona itakuajeMkuu ungetaja version iliyokua inakusumbua ingekua poa ili tujue ipi yenye shida kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
https://f.celsoazevedo.com/file/gcamera/Mod8.3b_IDan_v2.9.2_Exy.apkBoss samahani naona nimeshaifuta ila niliichukua kwny post za zamani huko juu,km unaweza ukanitumia tu nyngne then nijarbu kuona itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app