Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Kuna baadh ya mtk saiz ndio zimepata support...simu kama realme ana model ya mtk inasupport gcam saiz,pia note 8 pro imepata developer,,so the moment uzi unatoka hakukua na support ya mtk..hata note 8 pro haikua imetoka..na hata hivyo support bado ndogo sana compared na chip zingine
Mkuu mbona ulisema mtk wasubiri sana hiyo redmi note 8pro ni mtk naomba ufafanuzi kwenye hilo..

Sent by nokia tochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu msaada wa samsung S6 plain-SAMSUNG-SM-G920V-VERIZON.
Niliwahi kupata link humu na nikawa naitumia,shida ilianza kusababisha simu kuanza kuchemka sana na mara nyngine nikipga picha mbili au tatu camera inagoma au simu inarud kwny Home page.
Vp boss hakuna link nyngne nzuri ambazo hazizingui kwa model ynq hii

Mkuu ungetaja version iliyokua inakusumbua ingekua poa ili tujue ipi yenye shida kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom