Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Nimeiona, nimedownload lakini imekataa kuinstall!
Nimeikubalia Unknown source.

Inasema tu "app not installed"

Sent using..............
Una android version ipi?

Itakua version hiyo sio compatible na sim yako basi...jarbu ku Google gcam for redmi y2..kisha anza kutembelea link tofaut tofaut

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu weka hata picha mbili tatu ulizopiga na note 8 pro kwa kutumia Gcam


Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina note 8 pro...ila jamaa yangu mwezi uliopita alikua nayo...

Ww nenda Facebook kisha join group za gcam kisha search redmi note 8 pro utapata shot zote za gcam ya RN8pro ... details kweny picha zakutosha,hdr plus well defined,hakuna saturation kama za stock...uchawi wa gcam upate version iliyokua stable na setting zake ziwe sawa...

Night sights ndio usiguse mkuu

Mkuu kama ww una rn8pro weka picha hapa tutakusaidia kuchambua......yule jamaa wa k20 alipiga picha na stock wingu likawa jeupe...alaf jani likawa oversaturated [emoji3] akajua picha kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahan naomba unipe tena ile link ya samsung a30s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…