wise boi
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 363
- 795
V
Version 7.2.011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Version 7.2.011
Sasa huon mkono umekua over saturated kweny stock?Picha ya Kwanza ni ya native camera na ya pili ni ya GCamView attachment 1459052View attachment 1459053
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeiona, nimedownload lakini imekataa kuinstall!Huitaj kuwaelewa wanasema nn.. chin pale kwenye description kuna link ya google drive
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huon mkono umekua over saturated kweny stock?
Kapige wingu sasa nje..ndio utacheka hiyo stock
Sent using Jamii Forums mobile app
Una android version ipi?Nimeiona, nimedownload lakini imekataa kuinstall!
Nimeikubalia Unknown source.
Inasema tu "app not installed"
Sent using..............
Sikatai..ila note 8 pro gcam ni the best... otherwise ulipata mod sio nzur...
Hebu weka hapa gcam na stock ya note 8 pro namimi nikueletee same pics za note 8 pro shot on gcam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina note 8 pro...ila jamaa yangu mwezi uliopita alikua nayo...Mkuu hebu weka hata picha mbili tatu ulizopiga na note 8 pro kwa kutumia Gcam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahan naomba unipe tena ile link ya samsung a30sMimi sina note 8 pro...ila jamaa yangu mwezi uliopita alikua nayo...
Ww nenda Facebook kisha join group za gcam kisha search redmi note 8 pro utapata shot zote za gcam ya RN8pro ... details kweny picha zakutosha,hdr plus well defined,hakuna saturation kama za stock...uchawi wa gcam upate version iliyokua stable na setting zake ziwe sawa...
Night sights ndio usiguse mkuu
Mkuu kama ww una rn8pro weka picha hapa tutakusaidia kuchambua......yule jamaa wa k20 alipiga picha na stock wingu likawa jeupe...alaf jani likawa oversaturated [emoji3] akajua picha kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili balaaa[emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]Shot on Gcam[emoji119]View attachment 1460512View attachment 1460513
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi A series pasua
A20 znaaumbua sana gcam..sema jarbu hii
OkHizi A series pasua
Sema jarbu hii Download Google Camera / GCam APK for Galaxy A30s
Inaweza kukubal au kugoma
Sent using Jamii Forums mobile app