Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

kuna setting za gcam pale umeziona? fata maelezo ya kuiset kwanza mkuu,,kisha jarbu tena sasa..kuja setting special za samsung
Nime dowload file la 73 MB hivi kila nikigeuza Selfie ina stop unfortunately [emoji16][emoji16][emoji16]

Nimeona files zingine ni kama zipo Zipped hivi pahala nilipokuwa na download
 
mkuu kumbuka port zipo nyingi tena version tofaut..embu jarbu port za BSG naamin utapata version iliyo tulia...mimi tangu nipate stable version basi stock yangu hata siitaman tena
Well nimetafuta port za BSG katika hii site


Sijawa mvivu wa kusoma so mpk mwisho kabisa nimepata port ambayo nadhani itakua nzuri zaidi, naweka na screenshot ili atakaependa pia ajue ni wapi.



Jioni nitaleta mrejesho
 
Sasa mkuu sisi wa android tunafanyaje?
 
Mimi wa samsung napata wapi?
 
poa mkuu usisahau kuleta report
 
Poa nasikiaga wa itel tunaondoka kimya kimya[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…