Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Issue sio matoleo mkuu..ni chipset tu.,sasa kama j1 ni spd so huez pata port yake kwa sasa...
[emoji848][emoji848]sasa mkuu kama ni hivyo basi zimetolewa kwa matoleo machache hivyo developers wajitaidi kuongeza ...
 
Mkuu mimi mbona natumia quallcom lkn nikiinstall haifunguki..
 
Mkuu mimi mbona natumia quallcom lkn nikiinstall haifunguki..
Ndiomana mkuu kuna version nyingi za gcam..nilikwambia una kibarua cha kutest version moja moja kweny link nlikupa au sio ww mkuu?
 
kcamp Niaje mkuu, nimefuatilia uzi wako kutoka mwanzo nikajaribu apk nyingi kwenye simu yangu galaxy j6 2018 android 9 kila apk ninayojaribu inanigomea nimetest kwa ile app imenipigia tik kote, sasa mkuu unaweza jisaidia link ya galaxy j6 2018
 
Back
Top Bottom