Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

boss natumia samsung galaxy m20 na nimeiupgrade to android 10 naomba nisaidie direct link ya ku download hii boss
Hizi M na A gcam inasumbua..hazina support wala camera api yake ipo disabled mkuu
 
Mkuu hadi hapa bado tuu mbona kama hainiingii akilin ivi
Screenshot_20200706-184858_Manual%20Camera%20Compatibility%20Test.jpg
 
Natumia oppo f9 now camera api imekubali fresh


Naomba link ya gcam ya oppo f9 nikaipakur
Screenshot_2020-07-06-23-44-19-30_d204441fc3c1f4b06711ce43c33afbdb.jpg
 
Wakuu bila kupoteza muda,,Nimeshangaa kuona jukwaa la tech hadi leo hii hakuna uzi special wa GCam au Google camera.

Haina ubishi,hii ndio app bora ya Camera kuwahi kutokea,ambayo imetengenezwa na google wenyewe

Utakubaliana na Mimi kama tu umeshawahi tumia simu zao za pixel,zile simu zinapiga picha hatari,Hii yote imetokana na App bora ya camera waliyo nayo,ukiachilia camera specs.

FEATURES

Hii app ina features nyingi tu ila kubwa ninazoona ni 3 tu

1.GCAM POTRAIT MODE
Hii inajulikana kama bookeh effect au potrait mode kama nilivyo itaja,Hii ni ile feature ambayo camera inakua ina focus kwenye subject tu na kupotezea background huko nyuma,Nadhani ushaijua,Sasa potrait ya Gcam ni balaa maana inapiga mbele na nyuma,kwa maana hadi selfie camera ina potrait mode

hivyo kama utafanikiwa kuinstall basi utaenjoy hiyo feature na kuwashangaza marafiki zako as if unatumia Canon[emoji3]

2.HDR PLUS
Gcam inakuja na feature ya hdr+ ambapo picha zako zitaku very rich na hdr effect na kuzifanya kua bora zaidi ya stock camera.

3.Optimized Night mode
Kwa wale wazee wapenda picha za usiku basi Gcam ndio kiboko yake,hapa utapata great night shots kuliko stock camera ya simu yako.

DOWNLOADS

Sasa kwakua App hii ni special kwa sim za google na other android one devices basi ndio hapo kuna developers tofaut wakaweza ku port hii app kwa device zingine ili na sisi tuenjoy.

Hapa chini ninaweka link ya Gcam Hub ambapo ni kama center ya hizi app kwa simu zetu.,,hivyo utaingia na kusaka port sahihi ya simu yako



au pia unaweza nenda google Gcam for your device na ukapata link nzur zaidi.

make sure unafata maelekezo kama yatakuepo katika process ya kuintall


##Kabla ya kutaka kuweka Gcam hatua ya kwanza kabisa unatakiwa kucheki kama simu yako itasuport Gcam kwa njia rahisi tu..yani kujua kama inaruhusu modification za camera...


tumia hiyo app kisha start and then weka result hapa

CHANGAMOTO

challenge kubwa ni ku crash kwa app kwa baadh ya simu hii ni kutokana na app hii kua ported na developers tofauti,hivyo usichoke kuchange port ya developer mwingine kama uliyo nayo inasumbua.

Wazee wa MTK devices hii kitu msahau tu,hakuna port ya mtk hadi sasa,,yani wakina Tecno na ndugu zake wote.

Baadh ya pics za Gcam naweka hapa chini,ila tu siwezi post sura yangu kwa privacy,nitaweka za wenzetu kutoka grup yaGcam huko facebook na baadh nilizopiga kwa sim yangu.



View attachment 1094995View attachment 1094996View attachment 1094997View attachment 1094998View attachment 1094999View attachment 1095000View attachment 1095005View attachment 1095006
Natumia oppo f9 now camera api imekubali fresh

Naomba link ya gcam ya oppo f9 nikaipakur
 
Kweli chief, Google pixel 3xl camera yake ni nzuri sasa yan sana. Ni moja kati ya simu ambazo ni wachache sana wanazo.
Huawei P30 pro daahh nisishike hela karibuni, hiz simu kwa kipengele cha camera wameua wengi
Bei gani hyo
 
Back
Top Bottom