Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Imepigwa Usiku [emoji41]
IMG_20200709_194016.jpg
 
Kweli chief, Google pixel 3xl camera yake ni nzuri sasa yan sana. Ni moja kati ya simu ambazo ni wachache sana wanazo.
Huawei P30 pro daahh nisishike hela karibuni, hiz simu kwa kipengele cha camera wameua wengi
Hii ni Huawei Mate 20 pro..hawako vibaya sana uzuri wa google ni color science yao iko vizuri..
IMG_20200709_174403.jpg
 
Natumia simu ya oppo f9

Nimeshaipakua gcam ila ina shida mbili

Upande wa portrait hsufanyi kazi unaonesha hivyo tu

Picha ninazozipiga sijui nazipatajr
Screenshot_2020-07-19-16-50-36-24_81bc8a4612419ca7ce1a4407fbbc8d5e.jpg
 
Back
Top Bottom